Hivi kesi ya Lulu iliisha au?

Hivi kesi ya Lulu iliisha au?

Kesi ya kuua bila kukusudia kisheria hio lazima iwepo ili marehemu apate haki yake.Chakushangaza hakuna kinacho endelea hadi sasa.
 
Kanumba alijiua mwenyewe. Sasa ukijiua hakuna wa kushitakiwa mtuhumiwa kafa na kesi yake
 
Lulu ashukuru sana lile tukio lilitokea awamu ile ya rais kikwete, lingetokea awamu hii kumuua Kanumba msukuma, chini ya utawala wa mkoa ambae ni msukuma, rais ambae ni msukuma, haaaa angesha sukumiwa jela kitambo sana., hata dhamana ingekuwa hakuna.
 
kanumba ndio anakesi ya kujibu maana alimwanza lulu akiwa mtoto.
 
Labda alifutiwa shauri...ila kwa kuwa ni under age kesi zao huendeshwa sirini sio kwa hadhara.
Kwa mashauzi yale nafikiri ameshahakikishiwa kuwa hana hatia.
Kesi ndefu hii
 
Back
Top Bottom