Habari za weekend wadau. Namtafuta huyu dada anaitwa Khantwe , ni muda sana amepotea Jf. Sio siri huyu dada alikuwa kwenye ramani zangu na nilishandaa majeshi nimtokee mara paap kapotea! Popote mtakapomuona mwambieni namtafuta sana nitimize azma yangu.