EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kajitahidi saaanaNdomana nimepata tabu kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajitahidi saaanaNdomana nimepata tabu kuelewa
Jamaa anaandika kitoto sana aseeeKwanza kuandika hujui.
Mbona katika Habari yake anaonesha kabisa ni mkongo!? Au watakaje?Kwanza kuandika hujui.
Mungu ni Mungu tu.Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri wenu.
Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018
Tulihanza mausiano yetu
Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa
Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi
Tuka
Ninacho cheti cha ndoa ambacho tulisajili ambassade ya DRCUna cheti cha ndoa?, Kama ndio basi uyo ni mkeo kama hapana basi huyo sio mkeo. Ndoa ni ndoa endapo tu itasajiliwa kwa msajili wa ndoa na kikatolewa cheti cha usajili.
Ndoa ni cheti, hayo mengine ni ziada zisizo msingi sana.