Navuta picha hapa jinsi jamaa anavyo kikimbiza jasho likimtiririka akitaka kujua ni cha nani.Mkuu huwa unakikimbiza kwa nyuma? Maana haiwezekani uwepo kuanzia ubungo hadi kibaha
π[emoji7]
Njooo kuna uzi wa Lucky me ...anasema ..nmeumia sana.[emoji41]
Mkuu huwa unakuwa kwenye hiyo coverage ya ubungo to kibaha kwa muda mmoja? Au hhwa unaamka unachukua usafiri kufuata huo mlio mpaka kibaha?
Sent using Jamii Forums mobile app