google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Jaribu kuishi pembezon kidogo ya mji, walau upate usingizi maisha yenyewe yako wapi mpaka ujitese hivyo.? Najua unaishi karibu Na barabara ili uwahi kazin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Kimara huwa nasikia hizo kelele. Nipo umbali wa km 3 kutoka barabarani. Vilevile Kimara ipo kimya sana nafikiri hiyo ni moja ya sababu ya hiyo sauti kufika mbali.
Au inawezekana vibwengo wanafanya marathon, miji ya watu hii.Haina taabu tusubiri kipate ajali watakitangaza ni cha nani, kimetoka wapi na kinakwenda wapi
Hahahahaha umewaza kwa sauti sana mkuu punguza sauti kidogo.Au inawezekana vibwengo wanafanya marathon, miji ya watu hii.
Au pengine tumuulize isije ikawa wakati wa kulala anaacha radio on ina koroma na usingizi wa Dar una maluelue kidogo.
duh.. kwahio unakifataga nyuma nyuma kutoka ubungo hadi kibaha?Sio nchi nzima binafsi nakisikiaga kwenye barabara hii ya morogoro kuanzia mataa ubungo hadi kibaha