Hivi kile kipimo cha kauli ya Mzee Kikwete, kuwa labda "mambo yaharibike sana", hakijatimia?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".

Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
 
Yameharibika kwetu sisi watawaliwa lakini walioko kwenye mfumo ndiyo kwanza yanawanyookea,wameshaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Safu ya kumuondoa Samia imeshakamilishwa. Makonda hakuujua mpango akajikuta anampaisha Samia!! Sasa GENGE la Msoga limeingia rasmi Chamani. Januari Jr aanze tu mupiga jalamba
 
Alikuwa anamaanisha yaharibike sana kwa nani!? Kwao wao wanaoendelea kula Tena hadi kwa miguu au kwetu ambao hatujui kama tutakula japo mlo mmoja!?
 
Machoni mwa ccm hakiharibiki kitu!
 
🤣
 
I believe God will do something before 2025 against all evil rulers in Tz!
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…