Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Kilimo cha maharage; Mbegu ekari 1= 30 kg = 60000. Kukodi shamba = 25000 kwa ekari 1. Kulima= 30000 kwa ekari 1.kupanda = 30000 kwa ekari moja. Kupalilia = 15000 kwa ekari. Kuvuna =30000 kwa ekari moja. Note; additional cost like transport, food, surveying, facilities like bags, threads, etc are excluded!
However, it depends with rain direction and sufficiency.
Naruhusu maswali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi bei za eneo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna dawa za kuua panzi tu zinapatikana madukan na za funza zinatoboa majan
ok shukrani. kuhusu mbegu si ninaweza kununua maharage hata hayahaya wanayouza gengeni tuu au kuna ulazima wa kuyanunua kwenye maduka ya pembejeo?
 
Nikushauri tu mkuu... tena nakushauri km mkulima mzoefu..hebu nenda gairo kalime maharage... huwez bora ht ununue mpunga uuweke ndan..alafu mwaka huu mpunga haujapanda sana sijui y
Ushauri wa kilofa. Akifika gairo ajifunze kwanza kwa kupoteza hela, waswahili akili zenu mnazijua wenyewe. Ila kilimo kidogo ni hasara sana.
 
wapi huko mkuu nataka nije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry for late reply, Ended my week with load of work.

-Anyway iko hivi mkuu, kilimo ni kizuri hasa kama umefanya 'homework' yako vizuri.. kwa uzoefu wangu binafsi ni kuwa chochote unachoambiwa au kusoma kuhusu kilimo kwa maneno au maandishi na hapa na maanisha hata kwa aliyetoka kuvuna huwa ni 30% tu.

-Asilimia zinazobaki huwa ni kile utakachokutana nacho na hapa ina utofauti kwa mantiki ya changamoto kwa kila mkulima..kwa lugha nyepesi ni kuwa utafiti unaofanya saivi kila mtu hufanya hivyo na wengine huenda mbele zaidi kwa kufanyiwa semina na kununua majarida kadha wa kadha..hii ndio 30% ..lakini pasi ya ufahamu, watu hawa kwa kuambiwa na kujiaminisha wenyewe hujiona sasa wako hatua tatu kuvuna mamilioni.

- Sina nia ya kukuvunja moyo lakini kwa uzoefu wangu na hapa sina maana ya kukisema kilimo vibaya kwa maana pamoja na kunijeruhi mara mbili lakini nilishapiga faida zaidi ya mara nne.

- Maoni yangu ni kuwa bado kuna fursa ya biashara kwa maana ya bidhaa na huduma..na sio kwamba hakuna changamoto lakini uwezekanao wa kupungiza hasara huku ni mkubwa..jaribu kutafiti kwa eneo lako..fursa bado zipo kwenye bidhaa na huduma mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nitapita kusoma kesho vizuri " .... halafu nitawasilisha na maswali kadhaa

Asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu gunia la mahindi tsh 18000-40000/= sasa naomba nikwambie ukweli kuwa angalia kilimo kingine sio mahindi maana utajinyonga mwakani mwezi kama huu
kweli kabsaaa tena huku Dom kijin mwez wa 6 gunia huwa ni elfu 30 hasa ukpiga hesabu from kulima up to kuvuna duuuuuuuhhhh!!! Labda uwe unanunua na kwenda kuuza ww town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…