witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sijawahi asee but namatani kinoma...niwe na seed capital kiasi gani kwa kila kitu?yanalipa my dear..lima kuanzia eka 3..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi asee but namatani kinoma...niwe na seed capital kiasi gani kwa kila kitu?yanalipa my dear..lima kuanzia eka 3..
Hizi bei za eneo gani?Kilimo cha maharage; Mbegu ekari 1= 30 kg = 60000. Kukodi shamba = 25000 kwa ekari 1. Kulima= 30000 kwa ekari 1.kupanda = 30000 kwa ekari moja. Kupalilia = 15000 kwa ekari. Kuvuna =30000 kwa ekari moja. Note; additional cost like transport, food, surveying, facilities like bags, threads, etc are excluded!
However, it depends with rain direction and sufficiency.
Naruhusu maswali.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekupata mkuu. Je madawa ya kuua wadudu ni muhimu? Kama ni ndio ,je ni dawa gani inafaa?maharage yakipata mvua nyinh yanaoza..sana sana utaambukia debe 1..yanataka mvua chache zile za mwisho
nimekupata mkuu. Je madawa ya kuua wadudu ni muhimu? Kama ni ndio ,je ni dawa gani inafaa?
ok shukrani. kuhusu mbegu si ninaweza kununua maharage hata hayahaya wanayouza gengeni tuu au kuna ulazima wa kuyanunua kwenye maduka ya pembejeo?kuna dawa za kuua panzi tu zinapatikana madukan na za funza zinatoboa majan
Ushauri wa kilofa. Akifika gairo ajifunze kwanza kwa kupoteza hela, waswahili akili zenu mnazijua wenyewe. Ila kilimo kidogo ni hasara sana.Nikushauri tu mkuu... tena nakushauri km mkulima mzoefu..hebu nenda gairo kalime maharage... huwez bora ht ununue mpunga uuweke ndan..alafu mwaka huu mpunga haujapanda sana sijui y
wapi huko mkuu nataka nijeKilimo cha maharage; Mbegu ekari 1= 30 kg = 60000. Kukodi shamba = 25000 kwa ekari 1. Kulima= 30000 kwa ekari 1.kupanda = 30000 kwa ekari moja. Kupalilia = 15000 kwa ekari. Kuvuna =30000 kwa ekari moja. Note; additional cost like transport, food, surveying, facilities like bags, threads, etc are excluded!
However, it depends with rain direction and sufficiency.
Naruhusu maswali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hapa hapa Tanzania maeneo ya tanga huko hususani huko sehemu inajulikana kama kilindi.
Sorry for late reply, Ended my week with load of work.Hapo kwenye swali la kwanza
(A) jibu ni ndio ..
Kwenye swali la pili
(B) nipo kwenye process ya kukutanishwa na mzee 1 hivi ambaye anafanya aina ya hicho kilimo na amefanikiwa kwakiasi chake " katika hicho kilimo " nilikuwa nahitaji kuonana nae ili aweze kunipa hints kadhaa " ambazo zitakuwa kama Final decision kwangu " ya kuamua kuanza rasmi au la "
Mtu ambaye anakusudia kunikutanisha na huyo mzee ni my uncle " so I hope " mambo yatakwenda vyema " na mimi kuweza kunufaika na ushauri wake " kwa sababu ni watu ambao wana fahamiana na kuheshiana pia ....
So if kuna ushauri wowote ambao unao " naomba unipatie pia . Nitaufanyia kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry for late reply, Ended my week with load of work.
-Anyway iko hivi mkuu, kilimo ni kizuri hasa kama umefanya 'homework' yako vizuri.. kwa uzoefu wangu binafsi ni kuwa chochote unachoambiwa au kusoma kuhusu kilimo kwa maneno au maandishi na hapa na maanisha hata kwa aliyetoka kuvuna huwa ni 30% tu.
-Asilimia zinazobaki huwa ni kile utakachokutana nacho na hapa ina utofauti kwa mantiki ya changamoto kwa kila mkulima..kwa lugha nyepesi ni kuwa utafiti unaofanya saivi kila mtu hufanya hivyo na wengine huenda mbele zaidi kwa kufanyiwa semina na kununua majarida kadha wa kadha..hii ndio 30% ..lakini pasi ya ufahamu, watu hawa kwa kuambiwa na kujiaminisha wenyewe hujiona sasa wako hatua tatu kuvuna mamilioni.
- Sina nia ya kukuvunja moyo lakini kwa uzoefu wangu na hapa sina maana ya kukisema kilimo vibaya kwa maana pamoja na kunijeruhi mara mbili lakini nilishapiga faida zaidi ya mara nne.
- Maoni yangu ni kuwa bado kuna fursa ya biashara kwa maana ya bidhaa na huduma..na sio kwamba hakuna changamoto lakini uwezekanao wa kupungiza hasara huku ni mkubwa..jaribu kutafiti kwa eneo lako..fursa bado zipo kwenye bidhaa na huduma mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ushawahi kufanya hii kitu kilindi kivitendo?na unapatikana huko auNi hapa hapa Tanzania maeneo ya tanga huko hususani huko sehemu inajulikana kama kilindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabsaaa tena huku Dom kijin mwez wa 6 gunia huwa ni elfu 30 hasa ukpiga hesabu from kulima up to kuvuna duuuuuuuhhhh!!! Labda uwe unanunua na kwenda kuuza ww townMkuu gunia la mahindi tsh 18000-40000/= sasa naomba nikwambie ukweli kuwa angalia kilimo kingine sio mahindi maana utajinyonga mwakani mwezi kama huu
Mi mwenyewe nalimaga kitungu cha kumwagilia njia panda MoshiLima vitunguu sehemu yenye umwagiliaji , ili mvua ikigoma usijitundike
Sent using Jamii Forums mobile app