Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesemaje is a true storyNina wasiwasi mtu wa accounts kutunga riwaya kama hii. Any way kama ni kweli ile amri mojawapo kati ya zile kumi inakuhusu ...'mtendee jirani yako kile unachotaka kutendewa'. Ukioa ndoa yako huenda yakajirudia hayo hayo!
HeheheNi watamu kwakuwa unakuwa unajiona kidume unakula mali ya mwenye mali aliyekuzidi ukwasi sa unajitia u comando unambinua binua zaid ya mwenye mali kiasi kwamba mkibambwa vigumu kutambua kuwa uliyenaye hapo ni binadamu kwa jinsi ulivyo mgeuza na kumkunjakunja
Napajua vizuri sana mkuu. Tena sasa hivi pameboreshwaUnapajua kumbe makonde villa pub pale karibu na muriba bar kwa nyuma
Wameongezea vibanda vya nyasi,wameweka kuta mpya,rangi n.kWameweka nini siku hizi
Kwa hilo sina uhakikaBado panamilikiwa na henry mbwiga??