Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

Nina wasiwasi mtu wa accounts kutunga riwaya kama hii. Any way kama ni kweli ile amri mojawapo kati ya zile kumi inakuhusu ...'mtendee jirani yako kile unachotaka kutendewa'. Ukioa ndoa yako huenda yakajirudia hayo hayo!
Umesemaje is a true story
 
Hehehe
 
Halafu kwa kuzingatia mabalozi wote ni majasusi/military experts wastaafu ama active. Kama hii stori ni kweli, jamaa amejitia katika hatari kubwa pasipo yeye kujua.
Mhh
 
Daah mbona hiyo familia naifaham mkuu, na huyo mzee tunaheshimiana sana.. daah
Yaan nimesoma hii hadi mwili umesisimka siamini hadi nimearibikiwa mood
 
Daah mbona hiyo familia naifaham mkuu, na huyo mzee tunaheshimiana sana.. daah
Yaan nimesoma hii hadi mwili umesisimka siamini hadi nimearibikiwa mood
Ok sawa ni pm acha kunizingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…