ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Jana kwa mara ya kwanza kaanza ! coast vs mbeya city, nilikua ktk pilikapilika zangu sikuwahi kuuangalia, baadae saa 5 usiku ulirudiwa nikiwa job nikawa naibia jicho kwenye tv ili nimuone mfalme touch yake lkn sikufanikiwa kumwona na mpira Au akitoa pasi ila kuna wakati alitaka kufanya shambulizi akawa anaukimbilia mpira uliokua ukielekea golini na kipa wa city nae akatokea nusura wavagaane na kiba, ila kiba akacheza fair play akampisha goli kipa
Sijaona tena mfalme akiwa na mpira toka pale !
Sijaona tena mfalme akiwa na mpira toka pale !