Hivi King Kiba Aligusa Mpira Kweli ?

Hivi King Kiba Aligusa Mpira Kweli ?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jana kwa mara ya kwanza kaanza ! coast vs mbeya city, nilikua ktk pilikapilika zangu sikuwahi kuuangalia, baadae saa 5 usiku ulirudiwa nikiwa job nikawa naibia jicho kwenye tv ili nimuone mfalme touch yake lkn sikufanikiwa kumwona na mpira Au akitoa pasi ila kuna wakati alitaka kufanya shambulizi akawa anaukimbilia mpira uliokua ukielekea golini na kipa wa city nae akatokea nusura wavagaane na kiba, ila kiba akacheza fair play akampisha goli kipa
Sijaona tena mfalme akiwa na mpira toka pale !
 
Ndie aliyesababisha kona iliyozaa goli LA kwanza dk ya 6
 
Jana kwa mara ya kwanza kaanza ! coast vs mbeya city, nilikua ktk pilikapilika zangu sikuwahi kuuangalia, baadae saa 5 usiku ulirudiwa nikiwa job nikawa naibia jicho kwenye tv ili nimuone mfalme touch yake lkn sikufanikiwa kumwona na mpira Au akitoa pasi ila kuna wakati alitaka kufanya shambulizi akawa anaukimbilia mpira uliokua ukielekea golini na kipa wa city nae akatokea nusura wavagaane na kiba, ila kiba akacheza fair play akampisha goli kipa
Sijaona tena mfalme akiwa na mpira toka pale !
Aligusa mpira sana tu,
Alitoa pass nyingi sana tu,
Na nusura afunge kama mpira aliounganisha asingemlenga kipa.

Kifupi akiwa na mpira ni mzuri sana na anaweza kuleta madhara. Alitoka Sub dakika ya 64.
 
Tatizo watu hamuangalii mpira halafu mnakuja kutusumbua hapa.Kwa ufupi,jamaa aliperfom vizuri na alikuwa msaada kwa timu badala ya kuwa mzigo.

First touch yake tu ilikuwa murua,anajua kupokea/kutoa pasi kutuliza mpira na kutafuta nafasi.Na almanusra afunge goli dk.50 na ushee,shukrani kwa jitihada za goalkeeper wa Mbeya City.Aliunganisha vyema krosi ile,jambo ambalo hata kuna wachezaji kibao wa Ligi Kuu wasingeweza kufanya alichofanya Ali Kiba.

Imagine hata wachambuzi wa soka walimkubali.Sema anahitaji muda zaidi ili afikie kiwango kizuri zaidi.
 
Naona mnahamisha mapenzi ya muziki kwenye mpira sasa
 
kumbe king ata kwenye mpira ni king vile vile.
 
Ndiye aliyesababisha kona ambayo ilizaa goli pia.
 
Back
Top Bottom