Neno ‘opposite' lina maana mbalimbali. Inategemea na sentensi kabisa!
Kinyume cha ‘opposite' kama ‘noun' (nomino) inaweza kuwa: ‘the same' au ‘the same as' = ‘ile ile'
Kinyume cha ‘opposite' kama ‘preposition' (kihusishi) inaweza kuwa: ‘on this side' = ‘kwa upande huu'
Lakini kwa msingi kinyume cha neno ‘opposite' hamna moja kwa moja. Inategemea na muktadha kabisa!
Sasa, nisaidie kwa Kiswahili changu. Kwa Kiswahili, kinyume cha neno ‘kinyume' ni nini?