Hivi kiongozi yupi duniani anaongoza kwa physical fitness

Putin kuna wakati niliskia ilibidi atembee mwenyewe bila Walinzi wake ,kumuenzi aliyekua mwalimu wake wa Karate ,sipati picha kama mtu angeingia kwenye 18 zake siku hiyo sijui angemfanyaje
 
Joseph Kabila ni bingwa wa Karate na Judo ana dani saba za black belt,kusanya familia yako lakini mkishaandika wosia ndio mkamkabili huyu jamaa
Hahaha unaongelea karate zipi? Acha mbwembwe wewe, weka hapa source/link tuone. Waafrika wanavopenda sifa Za kijinga jinga ingekua ishajulikana kitambo. Tupia source hapa
 
Hahaha unaongelea karate zipi? Acha mbwembwe wewe, weka hapa source/link tuone. Waafrika wanavopenda sifa Za kijinga jinga ingekua ishajulikana kitambo. Tupia source hapa

Acha uvivu ulinza wenzako usiwe kama mmasai anayekwenda jando in groups! Sijabahatisha
 
Acha uvivu ulinza wenzako usiwe kama mmasai anayekwenda jando in groups! Sijabahatisha
Acha maneno mbofumbofu wewe kama unaenda kukeketwa vile, weka link hapa tuone
 
Ngoja niwaletee picha za rais mtoto wa korea kaskazini muone alivyo na mazoezi ya kufariki halaiki ya watu
 
Afu baadae usisahau kumlinganisha JPM na ENL au FHM,sawa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…