KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ahahahahaaa....hakuna mkuu kuna idara yuko fiti si unajua muumba hakunyimi vyote...hahaaa! msoga no dhaifu kuanzia upstairs had I mwilini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaaa....hakuna mkuu kuna idara yuko fiti si unajua muumba hakunyimi vyote...hahaaa! msoga no dhaifu kuanzia upstairs had I mwilini
Putin hatari, yule mzee mbaya kwenye martial arts we m google tu.
Hahaha unaongelea karate zipi? Acha mbwembwe wewe, weka hapa source/link tuone. Waafrika wanavopenda sifa Za kijinga jinga ingekua ishajulikana kitambo. Tupia source hapaJoseph Kabila ni bingwa wa Karate na Judo ana dani saba za black belt,kusanya familia yako lakini mkishaandika wosia ndio mkamkabili huyu jamaa
Hahaha unaongelea karate zipi? Acha mbwembwe wewe, weka hapa source/link tuone. Waafrika wanavopenda sifa Za kijinga jinga ingekua ishajulikana kitambo. Tupia source hapa
Acha maneno mbofumbofu wewe kama unaenda kukeketwa vile, weka link hapa tuoneAcha uvivu ulinza wenzako usiwe kama mmasai anayekwenda jando in groups! Sijabahatisha
Afu baadae usisahau kumlinganisha JPM na ENL au FHM,sawa sawa?Pamoja na JPM kujititimua jukwaani na kupiga push ups hadi kuwafurahisha wana CCM kweli kweli je JPM anawazidi marais wenzake kwa 'fitinesi'?(sisemi Mugabe!) Tumlinganishe vipi JPM na Vladimir Putin ambayo anayo kwapani 8 th dan black belt ya karate pamoja na kukimbia Newyork marathon like taking a walk in the park?Nawasilisha.