Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anayekimbia mbio kilomita 42 chini ya masaa mawili ashndwe mita mia???? Hehehe
Au labda unauliza kama anaweza kuwashinda akina Bolt wale wakimbiaji wa mita mia, hapo sitegemei awashinde maana kila aina ya mbio hutegemea maandalizi tofauti.

Kila mbio Ina training zakeHuyu mkimbiaji maarufu duniani R. Kipchoge, anaweza pia mbio za 100m au yeye ni hizo za muda mrefu tu? Ana rekodi yoyote ya 100 m?
Haiko hivyo. Ukiwa unakimbia mbio ndefu wewe ni wa ndefu tu. Ukiwa unakimbia mbio fupi ni fupi tu. Mbio za kina Hussain Bolt zinahitaji nguvu, kasi, misuli mikakamavu.