Hivi kipindi cha nyuma nani alikuwa mtunzi wa nyimbo za Diamond

Pambaneni na hali zenu chibu muacheni bhana, mnasema anatoa nyimbo za ovyo wakati hizo hizo nyimbo za ovyo zinampeleka abroad. Huyo anaeimba nyimbo za kuelimisha mtaje natumfananishe na chibu kwenye soko la kimataifa,

[HASHTAG]#wahenga[/HASHTAG] bhana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Tangu alipoaza kushine watabiri tambitambi mlishatabiri baada ya miaka minne Diamond anguko lake litazidi lile la Mr Nice cha kusikitisha mwaka wa saba huu ngoma bado inogile. Huku wale watabiri fake mkiendeleza unabii wenu. Fanya kazi acha Majungu.
 
Team Kiba kazini

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa hajui hata mziki.Watu wanaimba nyimbo kulingana na uhitaji wa soko.Mziki ni biashara mwisho wa siku upate faida.Kama hukuelimishwa shule au na mama yako ukategemea mziki uje kukuelimisha umepoteza.
[HASHTAG]#eneka[/HASHTAG]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu nyuma ya pazia this is too much
 
[emoji53] kafulia angekuwa hapo alipo....

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…