Hivi kipindi cha nyuma nani alikuwa mtunzi wa nyimbo za Diamond

hiiii ndo kazi ya mkosa kazi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Duuh umetisha kwa roho mbaya.
ila wahenga wanasema Funika kombe Mwanaharamu apite

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
kauliza swali zuri Sana

Dai kwa Sasa Hana mashairi mazuri

Something is wrong
 
Huyu jamaa hajui hata mziki.Watu wanaimba nyimbo kulingana na uhitaji wa soko.Mziki ni biashara mwisho wa siku upate faida.Kama hukuelimishwa shule au na mama yako ukategemea mziki uje kukuelimisha umepoteza.
[HASHTAG]#eneka[/HASHTAG]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Usifunzwa utafunzwa lakini duniani usipojitunza hakuna atakayekutunza
 
pambana na hali yako ndg[emoji23][emoji23][emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kuna dogo mmoja pale A.M records anaitwa keiza alimuandikia ule wimbo wa ukimuona akapewa pesa nusu sijui kama alimmalizia zingine, huyu dogo pia alikua akimuandikia jux mfano ule wimbo wa uzuri wako, pia kuna jamaa mmoja kavaa barghashia na kanzu kwenye ile video ya mbagala alimuandikia ule wimbo wa moyo wangu ila zingine walikua wanaandika wote lakini baadae kama walikuja gombana hv, in short zpo anazoandikiwa na zngne anaandika mwenyewe. waandishi wazuri wa nyimbo za bongofleva ni barnaba, amini,dogo ditto a marehemu udeude.
 
Kumbe duh [emoji15] [emoji15] [emoji15]

unaona sasa!!!
 
Wimbo wa moyo wng mond aliuandika kipindi anaelekea senegal kwny mambo za malaria maana icho kipindi mond alikuwa balozi wa malaria na kipindi anaandika wimbo huwo alikuwa na boss ruge wa clouds fm, ruge mashaidi, sasa unaposema aliandikiwa nani mwenye ukweli zaidi ww au yeye?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
diamond ameshuka sana kimashairi sio mond tunayemjua jaman japo kuna watu wanajionaga bendera za mond upepo. mi fans wake nikiri tu mchizi kashuka sana halafu mziki wa bongofleva pia umeshuka sana mvuto japo wanasema umepanda ila mimi naona umeshuka sipiti mtaani nisikie hata saloon wakipiga nyimbo mpya manake hakuna hit hata moja msimu huu imebaki ya harmonize tu show me tangu may

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeulizwa ww utashuka lini kimaendeleo au ww hujui kesho yako.
Bali unajua ya wenzio tu, yako huyajui

Post sent using JamiiForums mobile app
Naam, kesho yake huyo jamaa inadhihiri bila hata hesabu za kiunajimu
 
Mkuu mziki unaotaka kuusikia wewe kutoka kwa diamond nahisi muda umeshautupa mkono hizi ni zama zingine wacha watu tufaidi na ENEKA
 
Na kamwe zama hazirudi nyuma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom