Hivi kipofu huwa anaota nini??

Hivi kipofu huwa anaota nini??

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
4,799
Reaction score
4,226
Za jioni wakuu,swali hili niliulizwa na tukajadiliana na marafiki kadhaa lakini hatukupata jibu hebu tushirikiane kutoa mawazo.

Kipofu akiota ndoto huwa anaona nini akiwa ndotoni

nawasilisha
 
Hata mimi nilisikia anaota ila nikawa na doubt, ngoja nijiunge na huu uzi nijue zaidi
 
Za jioni wakuu,swali hili niliulizwa na tukajadiliana na marafiki kadhaa lakini hatukupata jibu hebu tushirikiane kutoa mawazo.

Kipofu akiota ndoto huwa anaona nini akiwa ndotoni

nawasilisha

Anaota ndoto
 
kuna kitu kinaitwa mind eyes... hii huwa anaona kwa hisia tu.. so hata ndoto anaota kama binadamu wengine
 
Mkuu unatafutwa Jukwaa la Siasa jamaa wamekushikia namba yako.
Mkuu, siasa not interested sana ndio maana hunioni sanasana kule...ni mara chache sana nacomment kule..nikienda jukwaa la siasa nasoma tu habari
 
Hili swali najua wengi wetu tunajiuliza sana, lkn ukilitafakar kisayansi zaid utaelewa kuwa hta vipofu nao huota....

Kwanza ndoto nyingi ni Imagination yan mambo ya kufikirika na source kubwa ni kutoka kwenye ubongo, kwahyo ss kama kipofu lazima atakua na njia ya utambuzi wa vitu either kwa kugusa, kusikia, kunusa au hata kulamba mana hizo ni njia kuu za ufahamu ukiondoa ya macho ambayo hawana,

Ss akiingia kulala ubongo hufanya kazi kubwa ya kurudia matukio ya mchana na kuumba vingine vingi hapo ss ndo ndoto nzima hutimia,

Natumain nimeeleweka kidogo....nikipata mda ntaweka uzi juu ya hili swala.

Lakin ngoja niwaache na challenge kidogo...

Je unauhakika gani jinsi uionavyo rangi ya blue ndivyo na mimi au mwingine aionavyo hivyo hiyo rangi ya blue!?

Tafakari pia tupeane majibu hapa....
 
Anaota " Imaginations "...!!

Note:
Kwa kipofu kila kitu ni imaginations hadi yeye mwenyewe anaji imagine..!! No reality kwenye brain yake.
Mshukuru Mungu umepewa macho.
Mr .shamac , u have talk some thing realy.I like it[emoji122]
 
Back
Top Bottom