Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za jioni wakuu,swali hili niliulizwa na tukajadiliana na marafiki kadhaa lakini hatukupata jibu hebu tushirikiane kutoa mawazo.
Kipofu akiota ndoto huwa anaona nini akiwa ndotoni
nawasilisha
hahahaha mkuu fafanua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu unatafutwa Jukwaa la Siasa jamaa wamekushikia namba yako.Hata mimi nilisikia anaota ila nikawa na doubt, ngoja nijiunge na huu uzi nijue zaidi
Mkuu, siasa not interested sana ndio maana hunioni sanasana kule...ni mara chache sana nacomment kule..nikienda jukwaa la siasa nasoma tu habariMkuu unatafutwa Jukwaa la Siasa jamaa wamekushikia namba yako.
Mr .shamac , u have talk some thing realy.I like it[emoji122]Anaota " Imaginations "...!!
Note:
Kwa kipofu kila kitu ni imaginations hadi yeye mwenyewe anaji imagine..!! No reality kwenye brain yake.
Mshukuru Mungu umepewa macho.