Bado hujanijibu swali langu mkuu ila umeleta maelezo mengine.Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Sio kutengenezwa mishikaki tu hat kuliwa haifaiBado hujanijibu swali langu mkuu ila umeleta maelezo mengine.
Kitimoto kinafaa kutengenezewa mishikaki?
Ohoooo!!!Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Kitimoto ni chakula huwezi kulinganisha na uzinzi na madawa ya kulevya.Kitimoto ni haramu kwa asiekula lakini ni halali kwa anaekula.Kitimoto ni nyama tamu kuliko hata kuku lakini yule alieanza kula na kuona haramu naona alikula kwa kupupa na ule wingi wa mafuta ulimpelekea kuhara ndipo akaita hii haramu.Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
...Kwa jinsi ilivyo na mafuta sijui kama hiyo mishkaki itaiva, jiandae tuu kufuga tumboni kwako wale minyoo wakubwa waitwao Tegu...Mbona mishikaki ipo.. Nenda Sinza legho pale
Inafaa ila nyama ya maeneo ya paja na shingoniHabarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
ILA, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?
Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.
Wabillah Tawfiq,
Mkuu umepotea njiaHaya maswali mengine awe anaulizwa FaizaFoxy, ili kuhepusha mikangangiko.
KhaaaInafaa ila nyama ya maeneo ya paja na shingoniView attachment 507970
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ulikuwa hujui..mjin shule enhhheIle ya koko mnayakula ni mishkaki ya kitimoto