uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,084
Sehemu ninayojua wana ongoza kwa kuwa na mishkaki ya kila aina ya nyama ni FORODHANI ZANZIBAR. Naomba tuwaulize watu wa huko labda wanajua zaidi.Habarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.
Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?
Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.
Wabillah Tawfiq,