Hivi kitimoto huwa inafaa kutengenezewa mishikaki?

Mi mwenyewe mpenzi sana wa kitifaya ila sijawahi ona mshikaki wa ngurubhe.................
 
Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...



Tendo la ndoa/kujaamiana ni haramu pia?
 
MKUU,ULIFANIKIWA
 
mweu wewe
 
Sio kutengenezwa mishikaki tu hat kuliwa haifai
Weka ushahidi wewe kishaija na Mimi mgen tumepigwa ban tusile nyama ya nguruwe...naona Baada ya Uumbaji MWENYEZI akaonna [emoji117] [emoji106]
 
Inawezekana ila utakuwa huifaidi,ile ukitaka uile vizuri inatakiwa iwe kwenye mapande makubwa makubwa,unang'ata kidogo kipande,kingine kinabakia mkononi ukiendelea kutafuna,huku kile kipande unachovya kidogo kwenye chumvi,kidogo kwenye pili pili,ukimalizia unachotafuna unatia mdomoni kilichopo mkonnoni..
 
Kula mishikaki update tegu na minyooo. Kaanga na chemsha kwa yuzi 350 kwa SAA 3
 
HAWA JAMAA MFUNGO UKIKARIBIA WANAANZA KUJIHAMI! NA NYAMA ZA KUFICHA KAMA MISHIKAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…