Hivi kitu chochote kikitembea kwa speed of light kinaweza kupenya kweny kioo?

Hivi kitu chochote kikitembea kwa speed of light kinaweza kupenya kweny kioo?

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m/s) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?

Inategemeana na size !

Large area small force speed doesn't matter ndomana ata ukichukua jiwe ukirusha kwenye kiyoo kwa speed sawa na risasi, Jiwe litapasua kiyoo lakini Risasi itapenya...

Physics.
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?

dogo hebu nenda jamii intelligence kuna mada nzuri itakufunza kitu
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?

wanasema ukubwa si kitu constant...kitu chochote kikienda speed ya mwanga au zaidi ukubwa wake utapungua tu infinity, vivyo hivyo uzito si kitu constant!!

Hizo ni theory za Einstein!!
 
wanasema ukubwa si kitu constant...kitu chochote kikienda speed ya mwanga au zaidi ukubwa wake utapungua tu infinity, vivyo hivyo uzito si kitu constant!!

Hizo ni theory za Einstein!!

thats not true.... tembo hawezi penya,, mwanga tu ndo unapenya kwa sababu ya properties zake zingine wala sio speed tu.. kama ambavyo waves inapita kwenye solid sio lazima kila kitu kinaweza
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?

Haiwezekani kufikia speed of light kwa kitu kikubwa kama tembo wakati hata electrons zenyewe tumeshindwa kuziaccelerate to that speed. it is theoretically impossible kwa sababu utahitaji infinite force na relative mass yako itakuwa infinite meaning utakuwa na mass kubwa mno (kilo). watu wengi hudhani utakuwa blackhole!
Na ukipita hapo unakuwa na negative mass (fikiria eti una kilo -50!?)....whatever that means!

fb64b7dab77855c07b3384a20fbf7654.png

M = relative mass
m = rest mass
v = speed of motion of body
c = speed of light
 
Haiwezekani kufikia speed of light kwa kitu kikubwa kama tembo wakati hata electrons zenyewe tumeshindwa kuziaccelerate to that speed. it is theoretically impossible kwa sababu utahitaji infinite force na relative mass yako itakuwa zero meaning utakuwa huna mass (kilo). watu wengi hudhani utakuwa blackhole!
Na ukipita hapo unakuwa na negative mass (fikiria eti una kilo -50!?)....whatever that means!

Mkuu relative mass haitakua zero, itakua infinity since inaongezeka as you increase the speed..
Na in a real sense, true mass is like "pi" haibadiliki, sema kinachobadilika ni relationship inayorelate momentum na energy ambayo inapelekea kuintroduce concept mpya ya relative mass ambayo hii mass ndo inaongezeka na velocity..

Wanaouliza maswali humu ningewashauri kutafuta results sehemu nyingine kwanza kama ni kwenye vitabu au google kabla ya kuja humu manake nimeona kuna watu concepts hawazielewi lakini wako mstari wa mbele kujibu hizo mistakes zao na kukuharibia kichwa.. Humu iwe kama discussions tu
 
Dogo, kabla ya kupata majibu, ebu jiulize kwanza ni kwanini radio waves zinauwezo wa kupita ktk ukuta na wala siyo mwanga?
 
m1 = m0÷ √(1-(V^2/C^2))
m1mass of the body at velocity V
m0 mass of the body at rest
C speed of light and V speed of the body

at V= C, m1 is Infinity therefore atapita....
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?

Kulingana na Tapeli Einstein hakuna kitu chochote chenye uzito kinachoweza kusafiri kwa mwendokasi mkubwa kuliko ule wa mwanga (3*10^8 m/s)! Halafu isitoshe unit ya mwendokasi ni meta/sekunde (m/s) na Siyo meta tu kama kulivyoandika!
 
kama utaweza kufikisha kitu kwa speed la light huyo tembo hatapasua kioo, but how...!!?
 
nilikua na pupa ya kuandika mkuu, hlf najua hakuna kitu chochote cheny uzito kinachoweza kusafir with 3×10^8ms—¹ lkn nimechukulia as assumption
 
kama utaweza kufikisha kitu kwa speed la light huyo tembo hatapasua kioo, but how...!!?
its just an assumption mkuu an elephant to travel with 3×10^8ms—¹.Si unajua in physics assumptions are acceptable!!
 
Nlichangia ila sikujibu swali, sasa kujibu swali, si kweli kua tembo atapita kwenye kioo kama anaenda kwa speed of light. Object moja kupita object nyingine inaitwa Intangibility, hii kitu ipo kwenye science fiction tu, ila hamna science inayoback it up, matter ziko made up of atoms, ukiaccelerate kitu katika speed of light, atoms zile bado zipo haziendi popote, labda kitakachotokea cha ajabu ni hizi objects mbili zitacollide na zitadisintegrate into particles haraka mno..

Kuna forces of attraction between all matters, hata to the smallest things kama neutrons na protons, the only way kitu kingeweza kupita kingine bila mvutano ni kama hizi forces zote zisingekuwepo, yani mwili usiexperience repulsion wala attraction kutoka kwa object nyingine, that way atoms zote za body B ziwe na nafasi ambayo atoms zote za body B zitapita bila kuexperience force yoyote which is impossible. hata electrons zinamvutano pamoja na kukimbia kwa almost speed of light..
 
Kulingana na Tapeli Einstein hakuna kitu chochote chenye uzito kinachoweza kusafiri kwa mwendokasi mkubwa kuliko ule wa mwanga (3*10^8 m/s)! Halafu isitoshe unit ya mwendokasi ni meta/sekunde (m/s) na Siyo meta tu kama kulivyoandika!

mkuu LIMETUMBUKA kwanini umemuita EINSTEIN tapeli ??

.made in mby city.
 
Back
Top Bottom