Acha kuchanganya concepts mtanzania, kwani light photons sio particles?? kila kitu kiko katika form ya energy in one way hata kama hakikimbii kwa speed ya mwanga, na kikiwa katika speed ya mwanga pia bado kita-contain particles vilevile, hii haimaanishi kitu kikifikia speed ya mwanga hakitoexist afu ibaki energy tu, hamna kitu kama hicho... Afu concept ya mass kuongezeka na speed inatokea kwenye equation hii
[FONT=MathJax_Main]p[/FONT][FONT=MathJax_Main]=[/FONT][FONT=MathJax_Math]γ[/FONT][FONT=MathJax_Math]m[/FONT][FONT=MathJax_Main]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]=[/FONT][FONT=MathJax_Math]m[/FONT][FONT=MathJax_Main]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]/(1[/FONT][FONT=MathJax_Main]−[/FONT][FONT=MathJax_Math]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]^2[/FONT][FONT=MathJax_Math]c[/FONT][FONT=MathJax_Main]^2[/FONT][FONT=MathJax_Main])[/FONT]^1/2
hiyo m ni true mass ambayo haibadiliki, lakini ndo concept ya relativistic mass inapokua introduced hiyo momentum inakua equals to Mv ambapo hiyo capital "M" ndio relativistic mass inayoongezeka with increase of speed... notice kwenye formula v ikifikia c denominator inakua 0, anything over zero ni infinity...
Hiyo equation yako E=mc^2, hiyo m haibadiliki regardless na speeed, sema object ya mass tuseme 10kg kufikia c, inamaanisha u must input a lot of energy ambayo kama object inabidi irudi katika normal speed au zero itabidi ipoteze all that energy, haimaanishi object inabadilika from one form to another..