Hivi kitu chochote kikitembea kwa speed of light kinaweza kupenya kweny kioo?

Concept yako nimeielewa vyema
 
Kulingana na Tapeli Einstein hakuna kitu chochote chenye uzito kinachoweza kusafiri kwa mwendokasi mkubwa kuliko ule wa mwanga (3*10^8 m/s)! Halafu isitoshe unit ya mwendokasi ni meta/sekunde (m/s) na Siyo meta tu kama kulivyoandika!

unamuita einstein tapeli? are u serious? look urself into the mirror, such a waste of oxygen!!!
 
wanasema ukubwa si kitu constant...kitu chochote kikienda speed ya mwanga au zaidi ukubwa wake utapungua tu infinity, vivyo hivyo uzito si kitu constant!!

Hizo ni theory za Einstein!!

Kwa hiyo tembo akiweza kutembea mwendo kasi uitwao Escape Velocity, basi atakuwa ni untouchable kama light tu?!
 
unamuita einstein tapeli? are u serious? look urself into the mirror, such a waste of oxygen!!!

Hii ndiyo shida kubwa inayoangamiza Nchi yetu ya Tanzania na Bara letu kwa ujumla, kupoteza muda mwingi kwenye vitu ambavyo siyo muhimu ktk maisha!
Sasa wewe ktk yote hayo niliyoandika umeona neno tapeli tu la maana kuliko yote?
Hoja inahusu kama kuna kitu chochote kinaweza kuwa na mwendokasi zaidi ya ule wa mwanga nimejaribu kulielezea hilo kulingana na ufahamu wangu, ila wewe umeona neno moja tu tapeli basi!
 

Einstein E=mc2
Formular
Kitu kikiwa accelerated katika hiyo speed hakitaweza kubaki katika hali yake Ya kawaida badala yake kitakuwa katika form Ya energy
 
wakuu nipo kwa mody physics nimesikia hii chogi sasa hv, kitu chochote mfano assume tembo akitembea kwa speed ya light(=3×10^8m/s) ataweza kupenya kweny kioo! Hv ni kweli?


Hyo speed kama u ulitaka kuiexpress in kwa standard ungeandika just, three times ten power eight.... Which is the same as 300, 000,000m/s
 
Kwa hiyo tembo akiweza kutembea mwendo kasi uitwao Escape Velocity, basi atakuwa ni untouchable kama light tu?!

Escape Velocity si speed of light mtanzania, escape velocity ni speed ambayo object ikiwa nayo inaweza counteract gravity hadi kuescape the earth's atmosphere into space... kwa kifupi escape velocity duniani ni 11.2km/s hiyo speed hata haijakaribia robo ya speed ya mwanga...
 
mkuu LIMETUMBUKA kwanini umemuita EINSTEIN tapeli ??

.made in mby city.

I have the same question too to him..
the only tapeli I know in the world of science ni Charles Darwin tuu..period!!
 
Einstein E=mc2
Formular
Kitu kikiwa accelerated katika hiyo speed hakitaweza kubaki katika hali yake Ya kawaida badala yake kitakuwa katika form Ya energy

Acha kuchanganya concepts mtanzania, kwani light photons sio particles?? kila kitu kiko katika form ya energy in one way hata kama hakikimbii kwa speed ya mwanga, na kikiwa katika speed ya mwanga pia bado kita-contain particles vilevile, hii haimaanishi kitu kikifikia speed ya mwanga hakitoexist afu ibaki energy tu, hamna kitu kama hicho... Afu concept ya mass kuongezeka na speed inatokea kwenye equation hii

[FONT=MathJax_Main]p[/FONT][FONT=MathJax_Main]=[/FONT][FONT=MathJax_Math]γ[/FONT][FONT=MathJax_Math]m[/FONT][FONT=MathJax_Main]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]=[/FONT][FONT=MathJax_Math]m[/FONT][FONT=MathJax_Main]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]/(1[/FONT][FONT=MathJax_Main]−[/FONT][FONT=MathJax_Math]v[/FONT][FONT=MathJax_Main]^2[/FONT][FONT=MathJax_Math]c[/FONT][FONT=MathJax_Main]^2[/FONT][FONT=MathJax_Main])[/FONT]^1/2

hiyo m ni true mass ambayo haibadiliki, lakini ndo concept ya relativistic mass inapokua introduced hiyo momentum inakua equals to Mv ambapo hiyo capital "M" ndio relativistic mass inayoongezeka with increase of speed... notice kwenye formula v ikifikia c denominator inakua 0, anything over zero ni infinity...

Hiyo equation yako E=mc^2, hiyo m haibadiliki regardless na speeed, sema object ya mass tuseme 10kg kufikia c, inamaanisha u must input a lot of energy ambayo kama object inabidi irudi katika normal speed au zero itabidi ipoteze all that energy, haimaanishi object inabadilika from one form to another..
 

Is " M" constant or "C"?
What is mass - energy relativity?
What is mass defect ?
But why is the speed of light squared? The reason is that kinetic energy, or the energy of motion, is proportional to mass. When you accelerate an object, the kinetic energy increases to the tune of the speed squared
The speed of light squared is a colossal number, illustrating just how much energy there is in even tiny amounts of matter. A common example of this is that 1 gram of water -- if its whole mass were converted into pure energy via E=mc² -- contains as much energy as 25000tone of trinitrotoluene (TNT )exploding. That's why such a small amount of uranium or plutonium can produce such a massive atomic explosion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…