Wakwere zamani walikuwa akijiita wazigua , hawakuwa na ujasiri wa kukubali kuwa wao ni wakwere sababu ya ubwa [emoji108]
Alipokuja Jakaya kuwa Rais wa JMT ndipo Sasa walau wakaanza kujitambulisha kama wakwere.
Lakini kabla ya hapo walikuwa wakijificha kwenye uzigua sababu ya ujirani kidogo kwa mbali.