Hivi kosa langu liko wapi hapa wakuu?

Mpenz wako anataka kusafiri, hakujua kama anaweza kwenda town, kapata chance ya kwenda, anakuomba mkutane, tena anasisitiza kuwa atasafiri, then we unamu ignore na kuona uko busy na kwamba u dnt care hata akisafiri mtaonana next time, haikuwa pouwah!
Kama ungepata fursa ungechomoka one time na ku mit nae, next time be reasonable, dnt b selfish, cz kama ulikuwa na mpango wa kukutana nae then thngs ddnt go wel bt as coincedence mkawa wote mko town then unge complete the mission.
 
Ndio luv hiyo girls need more atention !! Mtafute umsikilize kauli hutofautiana na.kupelekea misunderstanding ,, sasa kuwa bardii japo huna makosa ,mtafute umsikilize please ,,,,okay??
 
nyie hamjagundua janja ya huyo binti... in fact kwa mahesabu yake alijua kama angemkubalia jamaa appointment yake lazima angemegwa, kitu ambacho alikuwa anajaribu kukikwepa....at the same time, alikuwa anataka kumtoa jamaa upepo; hence akajifanya kum-surprise jamaa kwamba na yeye yuko town ili aonane na jamaa chapuchapu kufanikisha kusudio la pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…