Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
hivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?
Ukistaajabu ya Musa(The Boss), utaona ya Firauni(Bishanga)!!! We inabidi ushangilie tu, nyie si ndo mnawapaga masomo kama haya!