Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
hivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?
Kipipi sugarcake nilijua niko Jukwaa la Jokes kumbe niko MMUUkistaajabu ya Musa(The Boss), utaona ya Firauni(Bishanga)!!! We inabidi ushangilie tu, nyie si ndo mnawapaga masomo kama haya!
Kipipi sugarcake nilijua niko Jukwaa la Jokes kumbe niko MMU
Nielewesheni mtu ukiachwa unakuwa unajisikiaje ili nijihami niwai kuacha badala ya kuachwa
Wajanja hawaachwi hata siku moja; ukijua kusoma alama za nyakati nakuhakikishia utakuwa unaacha uachwi ng'o.
Kukumdogo fafanua vizuri kuacha kivipi?kuachwa na gari au kuachwa na mpenzi/mke/mume.
Nielewesheni mtu ukiachwa unakuwa unajisikiaje ili nijihami niwai kuacha badala ya kuachwa
Wajanja hawaachwi hata siku moja; ukijua kusoma alama za nyakati nakuhakikishia utakuwa unaacha uachwi ng'o.
last wikend basi la mohamedtrans liliniacha msamvu tho niltoka nalo dod0ma,so niliumia sana coz ckua na pesa,huku nako ni kuachwa
sijawahi kuachwa,, mara zote hua nawaacha!!