Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
It is not my problem but Kenyan problem vis a vis willingly becoming slaves in the 21st Century. What is your problem by the way?What's your problem?
Hata hivyo, ni wajibu wetu kuwakomboa vinginevyo watatumiwa na wakoloni kutuhujumu mwanangu.Wakenya wengi bado wanaendekeza fikra za kikoloni. Wasikuumize akili hao nyang'au.
Ni ukoloni per se. Hata kuvaa. kanzu na msuli ni ukoloni.Hivi kuvaa suti na tai si kuendeleza ukoloni?
Amandla...
Uongo na upuuzi mtupu. Ingekuwa hivyo, maprofesa wangeyavaa kweli kweli. Waangalie wavaa wigs vizuri.Kuna mtu alishawahi niambia kwamba wigi za majaji zinaongeza IQ na busara kwa kichwa lakini zile za bibi na dada zao ni kama helmet au kofia na mwamvuli wa kuzuia jua.
Ilikuwa Nairobi, 2008
Hawataki. Wanajiona wazungu.Hata hivyo, ni wajibu wetu kuwakomboa...
Usikasirike mkuu, inabidi tuwe wavumilivu kwa watu wengine, ambao huwa siku zote wanajaribu kuwa too subjective na kuwa low key ideas kwa kila kitu.What's your problem?
Nyani huwa haoni.Je, umesahau na yale majoho wanayovaa maspika wetu?--- vipi na ile SIWA inayoabudiwa na kutunzwa kama kitu kitakatifu inasemaje?
Fasten your seatbelts. it's going to be a bumpy nightIt is not my problem but Kenyan problem vis a vis willingly becoming slaves in the 21st Century. What is your problem by the way?
Hivi kuvaa suti na tai si kuendeleza ukoloni?
Amandla...