Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwani nani alikuambia kwamba kila mtu Afrika Mashariki ni Mswahili?Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni.
Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini yakarejeshwa na David Maraga. Je, tuwasaidieni hawa waswahili wenzetu pamoja na kujidai wamesoma sana wakati si kweli?
Wakenya na waswahili wengine wote wanaoendelea kuvaa wigs mnatuaibisha na kutuonyesha kama watumwa wa kujitakia.