Kwani nani alikuambia kwamba kila mtu Afrika Mashariki ni Mswahili?Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni.
Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini yakarejeshwa na David Maraga. Je, tuwasaidieni hawa waswahili wenzetu pamoja na kujidai wamesoma sana wakati si kweli?
Wakenya na waswahili wengine wote wanaoendelea kuvaa wigs mnatuaibisha na kutuonyesha kama watumwa wa kujitakia.
Muulize mleta mada kama kupata masomo nao sio kuendeleza ukoloni maana masomo nayo yalikuja na wakoloni.Hivi kuvaa suti na tai si kuendeleza ukoloni?
Amandla...
ila kuvaa wigi ya rangi nyeupe halafu uko mweusi kama mafuta ya bunduki ni werevu?Ni ujinga tu mwafrika kujaribu kujifanya kwamba hataki tamaduni ya mzungu. kila kitu kuanzia viatu tunazovaa hadi tissue paper na condom tunazotumia ni teknolojia ya mzungu.
Ati White man invention, as if hakunaga black men inventions, kweli mmekuwa brainwashed, unajua simu ina particles ngapi, unajua ni black inventions ngapi zipo kwenye simu unayotumia.Na iyo simu unatumia hapo si ukoLoni?
Wewe Ni nugu
Kila kitu unatumia kwako Ni white man invention.
Na iyo simu unatumia hapo si ukoLoni?
Wewe Ni nugu
Kila kitu unatumia kwako Ni white man invention.
Kama hayo mawig hayawaletei maumivu ya kichwa wala kuwasha waendelee kuvaa tu.Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni.
Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini yakarejeshwa na David Maraga. Je, tuwasaidieni hawa waswahili wenzetu pamoja na kujidai wamesoma sana wakati si kweli?
Wakenya na waswahili wengine wote wanaoendelea kuvaa wigs mnatuaibisha na kutuonyesha kama watumwa wa kujitakia.
But we are not complainingIt is not my problem but Kenyan problem vis a vis willingly becoming slaves in the 21st Century. What is your problem by the way?
Hakuna kitu chochote kwenye simu kilichovumbuliwa na Muafrika. Ukweli unachoma lakini ni ukweli. Kama hupendi kameze wembe.Ati White man invention, as if hakunaga black men inventions, kweli mmekuwa brainwashed, unajua simu ina particles ngapi, unajua ni black inventions ngapi zipo kwenye simu unayotumia.
Bunch of brainwashed black men, na mpo wengi sana.
Nimecheka kwa sauti kubwa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe!!! Huwa ufala uliopitiliza mtu anasema yeye hajakoloniwa kwamba yupo huru ila anajiita Mtanzania, tuanzie tu hapo hilo kujiita Mtanzania tayari ni ukoloni maana mipaka imechorwa na mkoloni, hakukua na Utanzania wala Tanzania kabla ujio wa mkoloni, yeye alikuja akachora na kusema uitwe na kujiona Mtanzania...ujinga sana halafu unakuta mtu amevimbiwa ubwabwa anasema yeye yuko huru kila idara.
Sio technology,dawa ata simu.Shenzi sana hawaNa iyo simu unatumia hapo si ukoLoni?
Wewe Ni nugu
Kila kitu unatumia kwako Ni white man invention.
Huo weusi ndio wetu, wewe katoe tint basi! 🤣ila kuvaa wigi ya rangi nyeupe halafu uko mweusi kama mafuta ya bunduki ni werevu?
Hio boxer/chupi iliyoivaa tayari ishakufanya mtumwa. Sio ya mchina hiyo! 🤣 🤣 🤣Wakenya ni watumwa na wanaupenda utumwa.
Bado unavaa chupi!? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hio boxer/chupi iliyoivaa tayari ishakufanya mtumwa. Sio ya mchina hiyo! 🤣 🤣 🤣
Chupi ni za wake ndo maana nikakuekea ujichangulie mchina anakuleteaga gani hapo! 🤣Bado unavaa chupi!? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Naona unapenda chupi, nikuletee nyekundu!? 🤣 🤣🤣Chupi ni za wake ndo maana nikakuekea ujichangulie mchina anakuleteaga gani hapo! 🤣
Mi si ke, so hizo jinunulie mwenyewe! 🤣 🤣 🤣Naona unapenda chupi, nikuletee nyekundu!? 🤣 🤣🤣