Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

Mi si ke, so hizo jinunulie mwenyewe! 🀣 🀣 🀣
Sasa hizo stori za chupi nani kakufundisha!? Au upenda kunusa chupi za wanaweke!? Wewe ni domo zege!?
🀣 🀣 🀣
 
Mzee hebu ondoa utumbo basi. Naona leo umepata free WiFi. Hebu usinichoshe mzee, wewe ni jobless upo free every time. 🀣 🀣 🀣
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kalale, acha kulia lia hapa!
 

Kuna Tofauti kati ya Tanzania na Tanganyika.. Elewa hivyo Tanzania ni yawatanzania na Tanganyika ni yawakoloni
 
Kuna Tofauti kati ya Tanzania na Tanganyika.. Elewa hivyo Tanzania ni yawatanzania na Tanganyika ni yawakoloni

Tanzania haikuwepo kabla ujio wa mzungu, hiyo mipaka ya hicho mnaita Tanzania haikuwepo, kawakuta Wamaasai na kuchora mpaka kati yao, makabila yote ya mipakani watakusaidia kuelewa namna kila mmoja wetu ni mtumwa wa ukoloni. Yaani unakuta mtu ni mweusi kama wewe, wa kabila moja kama wewe, mnachangia hadi ukoo lakini kisa yuko upande wa pili wa mpaka wa mkoloni hivyo basi inabidi muonane kama alivyoacha mkoloni.....
Sawa hata kama mzungu alibuni Tanganyika, ila mliendeleza ujuha kwa kuikoloni Zanzibar na kujiita Tanzania, mwisho wa siku mnatumia mipaka ya mkoloni mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…