Hivi kugegeda nini na hili neno limenzaia wapi?

Hivi kugegeda nini na hili neno limenzaia wapi?

Mzabzab kuja huku practical inahitajika lol!
 
amu nahisi wewe mzabzabina kesha kugegeda lol,
 
duh! usha gegeduliwaaa?! uwiiiiiiiiiii....!! kweli ma hawara hawaachani!! ndo maana nasikia harufu ya nanihiiii...!!
 
kwa nini umesema hivyo?????
Ha ha na tunauendeleza mgegedo kwenye wite pariiiii right mzabzab!!

hahhaa tena mie navyopenda unavyojua kukatika viuno balaa....itabidi wikend nikuibe bwana
 
Last edited by a moderator:
hapo tunatumia tafsida tumepunguza ukali wa maneno,ila maana halisi ya kugegeda ni kutafuna kitu kitamu kwa raha zote
 
kugegeda ni kimakonde na maana yake ni kutafuna
 
gegeda (t)
neno la asili ya kimakonde limaanishalo tafuna, pia hutumika katika mitandao ya kijamii kama tafsida ya kitendo cha 'kufanya mapenzi'
~dwa, ~dana, ~desha, ~deza
 
Nataka tu kujua maana halisi ya kugegeda!
kugegeda maana yake ni kuchwapa na fimbo maalum iliyo kwa watu maalim na isiyo kua ngum na inayo nesa nesa na ikikasirika some time huwaga inakua ngumu inakakamaa kabisa
 
Back
Top Bottom