Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 12, 2013 #21 akenajo said: hapo tunatumia tafsida tumepunguza ukali wa maneno,ila maana halisi ya kugegeda ni kutafuna kitu kitamu kwa raha zote Click to expand... Hata mimi ndivyo ninavyojua, mzizi ni Mrima, hususan Kiswahili cha kutoka Kizaramo. Kugegeda ni kutafuna, mathalani kutafuna muhogo kwa mapande makubwa na kwa kufanya sauti kubwa .
akenajo said: hapo tunatumia tafsida tumepunguza ukali wa maneno,ila maana halisi ya kugegeda ni kutafuna kitu kitamu kwa raha zote Click to expand... Hata mimi ndivyo ninavyojua, mzizi ni Mrima, hususan Kiswahili cha kutoka Kizaramo. Kugegeda ni kutafuna, mathalani kutafuna muhogo kwa mapande makubwa na kwa kufanya sauti kubwa .
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 16, 2013 #22 lugha huzaliwa hukua na hatimaye hufa, neno kugegeda sasa hivi linatumika kivingine kabisa n vijana wa kileo wakimaanisha kufanya ngono
lugha huzaliwa hukua na hatimaye hufa, neno kugegeda sasa hivi linatumika kivingine kabisa n vijana wa kileo wakimaanisha kufanya ngono
Nguruvi3 Platinum Member Joined Jun 21, 2010 Posts 15,773 Reaction score 32,431 Jan 16, 2013 #23 Kiranga said: Hata mimi ndivyo ninavyojua, mzizi ni Mrima, hususan Kiswahili cha kutoka Kizaramo. Kugegeda ni kutafuna, mathalani kutafuna muhogo kwa mapande makubwa na kwa kufanya sauti kubwa . Click to expand... Hata sisi kule mjasani na Pongwe Tanga tunatumia neno hilo wakati tunatafuna mhogo wa kibanda meno au mahiza. Ukigegeda kitu ni kama vile unang'ofoa lakini ukiwa na hisia njema na halali. Kwingineko siku hizi linatumika, ah ! anyway
Kiranga said: Hata mimi ndivyo ninavyojua, mzizi ni Mrima, hususan Kiswahili cha kutoka Kizaramo. Kugegeda ni kutafuna, mathalani kutafuna muhogo kwa mapande makubwa na kwa kufanya sauti kubwa . Click to expand... Hata sisi kule mjasani na Pongwe Tanga tunatumia neno hilo wakati tunatafuna mhogo wa kibanda meno au mahiza. Ukigegeda kitu ni kama vile unang'ofoa lakini ukiwa na hisia njema na halali. Kwingineko siku hizi linatumika, ah ! anyway