Hivi kujitibu kwa mitishamba na matunda na mbogamboga ....

Hivi kujitibu kwa mitishamba na matunda na mbogamboga ....

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Ni kweli kunaponesha?

Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.

Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
 
Ni kweli kunaponesha?

Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.

Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
Soma hizo madini zilizoko kwenye madawa kisha Tafuta matunda yenye madini hayo uone kama hupati. Mfn. Ukosefu wa vitamin A husababisha ukavu macho pia (kupoteza Nuru ya macho) .

Hapo hospital kuna tembe zenye vitamin A lakini pia Majani ya Mlonge yana vitamin A. Chagua utumie nini kutibu tatizo. mwisho wa mfano.
Nawe sasa chukua hilo box la vidonge au dawa ya maji soma hizo components Kisha zitafute kwenye matunda ya majani. Ni rahisi sana Kuamua.
 
ndio kunaponesha, ila katika uchaguzi sahihi wa unachokutumia
 
Ni kweli kunaponesha?

Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.

Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
Mi natumia sana, na zinaponesha fresh na haraka. Kuna kitabu flan kinaitwa TURUDI EDENI sijui ndo nilikinunuaga. Hicho kitabu kinaelekeza jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia mitishamba na matunda. Miili inatofautiana, wengine dawa za asili zinawakataa sasa sijui inakuaje
 
Tena kunatibu root causes ya tatizo kuliko Dawa zinazotibu symptoms tu
 
Back
Top Bottom