Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hizo madini zilizoko kwenye madawa kisha Tafuta matunda yenye madini hayo uone kama hupati. Mfn. Ukosefu wa vitamin A husababisha ukavu macho pia (kupoteza Nuru ya macho) .Ni kweli kunaponesha?
Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.
Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.
Mi natumia sana, na zinaponesha fresh na haraka. Kuna kitabu flan kinaitwa TURUDI EDENI sijui ndo nilikinunuaga. Hicho kitabu kinaelekeza jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia mitishamba na matunda. Miili inatofautiana, wengine dawa za asili zinawakataa sasa sijui inakuajeNi kweli kunaponesha?
Tunaomba mujitokeze muliopata majibu wakuu.
Mana sie wengine tushachoka na madawa ya mahospitali yasioleta majibu yoyote yakudumu.