URUSI ina sera za kishetani ndio maana nchi zote za kikomunisti zimemkimbia na kufanya uadui naye, Poland, Romania, Bulgari na Moldova. Urusi hakuna demokrasia Puttin yuko madarakani miaka 27!Wapinzani katika nchi za URUSI wanauwawa hovyo na kuswekwa gerezani. Ukifika ktk Nchi za NATO ni raha tupu. kuna demikrasi ambapo maraisi husutwa hadharani na hatimaye kutolewa kwa kura kama hawawezi kazi.wapinzani hulindwa na katiba na maoni yao ni dhahabu kitaifa. sasa utakuta nchi nyingi sana zinatamani NATO membeship kuliko kutwaa sera za URUSI ambazo shetani tuu ndo mshabiki wake!