Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 376
kujiterezesha kwa mujibu wa le kubwazkama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
Sema mleta hoja nawe akili KM huyo ndugu yake bashite wote zero brain tu
Sent using Jamii Forums mobile app
khaaa! mkuuNikiwa na mtoto kama Le Mutuz, najinyonga hadharani kabisa. Naweza kwenda Garden pale posta NBC nikajinyonga mubashara.
Heri kufa kuliko kutahayarika mbele ya kadamnasi.