Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Wakati Bill akifurahia Wali kwa Maharagwe....Le Kubwa Jinga, amekodolea Macho Kamera, kuuza Sura...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hujui unaongea na nani,pole sana
Hongera sana bhana le mutuz kwa online TV ni hatua nzuri sana jitahid kuja na vipind bora zaidi . big up
maneno mengine ni ya kuku changamsha tu ubongo
Mie ni mwanamke kwani huyo jamaa si mwanaume kamili? Acha ushamba Mashuka meupe hata mochwali yapo- Sasa mbona hujajibu umejuaje kuwa kwa Makonda kuna mashuka meupe? hahahahahaha jibu swali umesema mwenyewe hapo ni kwa Makonda ulijuaje? hahahahahahaha
le Mutuz
Wakati Bill akifurahia Wali kwa Maharagwe....Le Kubwa Jinga, amekodolea Macho Kamera, kuuza Sura...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ni mwanamke kwani huyo jamaa si mwanaume kamili? Acha ushamba Mashuka meupe hata mochwali yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah itakuwa hivyo. Ukilipiwa sehemu kama hiyo unatakiwa ujishughulishe haswa