[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii nimecheka Mimi...Mimi huwa nahisi lemtuz n mtoto wa maabara maana umri hauendani na akili amechelewa sana kulingana na akili za mwanadamu wa kawaida
View attachment 566024
- jana hiyo wakati wewe unalalamika huku sisis tunakula batazzzz na watoto wazuri, wewe shikilia miaka tu ya wanaume usiowajua huku JF hahahahahahaha
le Mutuz
kujiporomishakama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
kwa hiyo ukiingia hotelini unaomba uende mpaka vyumbani kupiga picha?View attachment 566040
- Jana Presidential Suite the Double Tree Hilton Masaki, guys punguzeni kelele hahahahaha
le Mutuz
nikafikir alimalza huo msos woteHawezi kuwa alimaliza inavyoonekana hapo kama alikua sana ni kijiko kimoja au hata asile but ni ile kuonyesha ushirikiano kwa nao watoto..
Mtelezokama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
Wanaita sunna yakhee...!Linakula kama litoto, kiganja kizima kimejaa chakula.
Weka no. Yake hapaDuh!!!!
Si umtafute umuulize au!?
Weka akiba ya maneno mkuuNikiwa na mtoto kama Le Mutuz, najinyonga hadharani kabisa. Naweza kwenda Garden pale posta NBC nikajinyonga mubashara.
Heri kufa kuliko kutahayarika mbele ya kadamnasi.