Evody kamgisha
Member
- Aug 4, 2011
- 97
- 108
Ningependa kuuliza, ukiangalia Sheria za manunuzi zinamtaka mtu au kampuni za umma zinapotaka kufanya jambo lolote linalohusu manunuzi au ubinafishishaji lazima Sheria ya ushindanishaji wa makampuni Ili kimpata aliye Bora zaidi.
Je, zoezi juu ya bandari za Tanzania huyu mwekezaji alishindanishwa na makampuni mengine mpaka yeye anakuja kuchaguliwa?
Au Kuna njia za mkato zilipotishwa Ili kumpata DP World?
Nauliza.
Je, zoezi juu ya bandari za Tanzania huyu mwekezaji alishindanishwa na makampuni mengine mpaka yeye anakuja kuchaguliwa?
Au Kuna njia za mkato zilipotishwa Ili kumpata DP World?
Nauliza.