Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Mar 26, 2017 #1 Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo. Huenda Kihiyo sasa akapumzika
Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo. Huenda Kihiyo sasa akapumzika
afsa JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 1,986 Reaction score 1,585 Mar 26, 2017 #2 Bashite-Bashite = 0-0
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 Mar 26, 2017 #3 sio msamiati, Bali ni msemo mmoja mkali umeingia mtaani, mmhh atang'ooka tu😀😵
Quinine Mwitu JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 5,529 Reaction score 6,095 Mar 26, 2017 #4 Alafu nauli naw Dom makonda wanaita cheti