Hivi kumbe bashite tayari ni msamiati katika lugha?!

Hivi kumbe bashite tayari ni msamiati katika lugha?!

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo. Huenda Kihiyo sasa akapumzika
 
sio msamiati, Bali ni msemo mmoja mkali umeingia mtaani, mmhh atang'ooka tu😀😵
 
Back
Top Bottom