Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Polee..Umeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje
Ana spidi kali
Hapa nkiguswa na mu naruka
Na je ikiwa atakung'ata ana sumu? Madhara yake?
Anaitwa centipede kwa kiingreza
Kiswahili tunamwita tanduView attachment 969232
Polee..
Nje mkuu.. Na kuna gizainaonekana unakaa stoo
pole mkuu nikuazime generator languNje mkuu.. Na kuna giza
pole mkuu nikuazime generator langu
izo hatujafundishwa mkuu
mi jasiri sina element za uoga that y nashindwa kukupatia izo mbinu
SinaMtoto mzuri kama wewe hauna hata generator
mbona hivo vidude huwa having'ati sema tu umeshapandikizwa kukaogopaDoh.. Kwahiyo njivike hio ujasiri as if kale kadude sio tishio kivile?
Unaonekana unaishi sehemu chafu chafu na mpangilio wa vitu vyako haujakaa vizuriUmeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje
Ana spidi kali
Hapa nkiguswa na mu naruka
Na je ikiwa atakung'ata ana sumu? Madhara yake?
Anaitwa centipede kwa kiingreza
Kiswahili tunamwita tanduView attachment 969232
watanzania washamba ndio hawa hapa.....Unaonekana unaishi sehemu chafu chafu na mpangilio wa vitu vyako haujakaa vizuri
.
Badilika utaumbuka mbele za watu.
mbona hivo vidude huwa having'ati sema tu umeshapandikizwa kukaogopa
watanzania washamba ndio hawa hapa.....
huko masaki na oystebay kwenyewe mvua ikinyesha tu hao tandu wanakuwepo na kama mlango hujaweka zile rubber chini unaweza kukutana nao ndani
nimetolea mfano wa masaki na oysterbay maana ndio sehemu mnazoziona safi