Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi nyeusi huwa inawekwa SIKU ZA MAOMBOLEZO kama siku tatu zilizopita maomboleza ya waliofariki ajali ya MV Nyerere.Mambo vp wakuu. Toka juzi natumia jf app hapa nikaona imetoka ile blue yake tulioizoea mpaka black or niseme dark blue. Sasa leo nafungua nakuta imebadirika tena imekuwa hata jina la rangi yenyewe sijui..! Mi niliipenda ile black..
Mi yangu ili change nyeusi nikajiuliza imekuwaje eeeh asante kwa hili jibu nimeelewa sasaRangi nyeusi huwa inawekwa SIKU ZA MAOMBOLEZO kama siku tatu zilizopita maomboleza ya waliofariki ajali ya MV Nyerere.
I agree with youIbaki hii ya sasa
kaka siku ya valentine wataeka nyekunduRangi nyeusi huwa inawekwa SIKU ZA MAOMBOLEZO kama siku tatu zilizopita maomboleza ya waliofariki ajali ya MV Nyerere.
Sign out after few seconds log in...Mbaya zaid PM sijui wameziondoa maana mi nikifungua naambiwa empty
Mie pia sioni kitu pm nikajua wazee wasojulikana washanitembeleaMbaya zaid PM sijui wameziondoa maana mi nikifungua naambiwa empty
[emoji87] [emoji87]Kuna watakaosema imekuwa ya njano,tusubiri...