Hivi kumbe jf app inabadirika rangi kila baada ya siku kadhaa

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,790
Reaction score
3,263
Mambo vp wakuu. Toka juzi natumia jf app hapa nikaona imetoka ile blue yake tulioizoea mpaka black or niseme dark blue. Sasa leo nafungua nakuta imebadirika tena imekuwa hata jina la rangi yenyewe sijui..! Mi niliipenda ile black..
 
Rangi nyeusi huwa inawekwa SIKU ZA MAOMBOLEZO kama siku tatu zilizopita maomboleza ya waliofariki ajali ya MV Nyerere.
 
Back
Top Bottom