Hivi kumbe kuna rais wa US alifariki kwa kipindupindu na mwingine hakuwa na mke first lady

Hivi kumbe kuna rais wa US alifariki kwa kipindupindu na mwingine hakuwa na mke first lady

Chimo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2008
Posts
714
Reaction score
361
NImesoma Historia Za Maraisi 44 waliotawala Marekani ila Nimeshtuka kuona kuna Rais Mmoja Alifariki kwa Kipindupindu Zachary Taylor, Pia Rais James Buchanan Alikuwa Bachela hakuwa na Mke.
1479400090719.jpg
 
jaman marekan nayo iko duniani na wala si mbingun hvyo chochote kinawezekana kutokea huko
 
Hebu tu rank wa kwetu,hakiyanani rekodi ya ABRAHAM LINCON itavunjiliwa mbali, tehe tehe tehe
 
Sio kweli unaposema wengi wao waliuwawa kwa risasi Aisha unapotosha ukweli au hujui kabisa USA imetawaliwa na maraisi 45 plus trump

Unaposema wengi wao wameuwawa kwa risasi unamaanisha zaidi ya nusu yani 23+ wameuwawa kwa risasi rekebisha hiyo wengi wao bwana haileti maana
 
Siku zote "Wengi inaanzia idadi 2 kuendelea"

Sijasema "zaidi ya nusu" kama ambavyo umefikiri/umewaza.
 
Siku zote "Wengi inaanzia idadi 2 kuendelea"

Sijasema "zaidi ya nusu" kama ambavyo umefikiri/umewaza.
Neno baadhi yao' lingekuwa zuri zaidi...
Ukisema wengi wao inamaanisha kati ya wote wengi waliuwawa, kinyume chake wachache ndo hawakuuwawa.
 
Back
Top Bottom