Hivi kumbe kuna rais wa US alifariki kwa kipindupindu na mwingine hakuwa na mke first lady

Hivi kumbe kuna rais wa US alifariki kwa kipindupindu na mwingine hakuwa na mke first lady

waliouwawa kwa risasi ni wawili, abraham lincoln na john kenedy
Waliouawa kwa risasi ni wanne;Abraham Lincoln(1861-1865), James Garfield(1881), William McKinley (1897-1901) na John F. Kennedy (1961-1963).
 
Samahani naomba kujuzwa, aliyekuwa rais wa kwanza wa Marekani alikuwa na uhisiano na rais wa 41 na 43?
 
Samahani naomba kujuzwa, aliyekuwa rais wa kwanza wa Marekani alikuwa na uhisiano na rais wa 41 na 43?
[/QUOTE

Bangi hii Sasa uhusiano unaanzaje kwa muachano wa miaka 300 au umekosea kuuliza swali
 
Back
Top Bottom